Ukuaji
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Ukuaji (kwa Kiingereza "growth"[1]) ni mchakato wa kuongezeka au kuonyesha mabadiliko katika maumbile au mwonekano ule uliokuwepo awali.
Ukuaji unajumuisha mambo yafuatayo:
(a) Mabadiliko katika tabia
(b) Mabadiliko katika sifa
Ukuaji mara nyingi au moja kwa moja hutokea kwa Viumbe hai. Viumbe hai ndio wenye uwezo wa kuonyesha mabadiliko katika tabia na sifa zao kijumla.
Kwa mfano wao, hata miundo inaweza kusemwa kuwa inakua.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ukuaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |