ukungenwa ni desturi Nchini Afrika Kusini au Utamaduni ambapo Mwanamke mjane anakuwa mke wa shemeji yake, au anachukuliwa na kurithiwa na shemeji yake. Kitendo hiki kinatokea hasa katika sehemu za vijijini nchini Afrika Kusini, hasa Eastern Cape, na KwaZulu-Natal . [1]

Marejeo hariri

  1. "Abducted marriages, inheriting a wife to be outlawed". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-25. Iliwekwa mnamo 4 April 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukungenwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.