Ukwaju ni tunda lenye umbo jembamba, rangi ya kijani likiwa bichi au ya kaki linapoiva na lina nyama gwadu ilikayo hasa kama kiungo katika vyakula na vinywaji.

Mti wa ukwaju

Linapatikana katika mti mkubwa uitwao mkwaju (pia: msisi au makombe; jina la kisayansi: Tamarindus indica) wa familia Fabaceae.

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukwaju kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.