Kijani ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimbali kama vile kuchora michoro mbalimbali na kazi nyinginezo.

Neno kijani lina maana sawa na rangi ya mimea mingi Ulimwenguni'

Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora vitu mbalimbali kama vile wanyama, wadudu, na hasa mimea na kutumika katika kazi za kurembeshea vitu kama vile majengo ya nyumba, shule, ofisi na kadhalika.

Rangi hii ina uhusiano na rangi mbalimbali kama vile:

na rangi nyingine zenye uhusiano na rangi hizo.