Ukwapi ni kipande cha kwanza katika mshororo wa shairi, na utao ni kipande cha pili katika mshororo wa shairi. Vipande hivYO mara nyingi hutokea katika mashairi aina ya Tarbia.

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukwapi na utao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.