Mnara wa taa wa Ulenge uko katika kisiwa cha Ulenge, Mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa Tanzania. Ulijengwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwaka wa 1894[1].

Mnara wa taa wa Ulenge

Karibu na mnara wa taa, kulikuwa ns jengo la kupata nafuu na kupona baada ya udhaifu uliosababishwa na ugonjwa uliowapata Wazungu[2].

Angalia ia hariri

Marejeo hariri

  1. "Lighthouses of Tanzania". www.ibiblio.org. 
  2. "Deutsche Kolonialzeitung : Organ der Deutschen Kolonialgesellschaft". 8 Des 1922 – kutoka sammlungen.ub.uni-frankfurt.de.