Ulysses S. Grant
(Elekezwa kutoka Ulysses Grant)
Ulysses Grant (27 Aprili 1822 – 23 Julai 1885) alikuwa Rais wa 18 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1869 hadi 1877. Alikuwa na Kaimu Rais wawili, kwanza Schuyler Colfax (1869-73), halafu Henry Wilson (1873-75).
Ulysses S. Grant | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1869 – Machi 4, 1877 | |
Makamu wa Rais | Schuyler Colfax (1869–1873) Henry Wilson (1873–1875) Hapakuwa na naibu (1875–1877) |
mtangulizi | Andrew Johnson |
aliyemfuata | Rutherford B. Hayes |
tarehe ya kuzaliwa | Point Pleasant, Ohio, Marekani | Aprili 27, 1822
tarehe ya kufa | 23 Julai 1885 (umri 63) Wilton, New York, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Grant's Tomb, New York City |
chama | Republican |
ndoa | Julia Dent (m. 1848) |
watoto | *Frederick Dent Grant
|
mhitimu wa | United States Military Academy (Bachelor of Science) |
signature |
Tazamia pia
hariri}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ulysses S. Grant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |