Umeå ni mji nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa kumi na mbili katika nchi wa Uswidi. Umeå ni mji mkuu wa mkoa ya Västerbotten. Kuna wakazi Emelie Vestin (mwaka 2005).

Ukumbi wa Umeå
Umeå in Sweden.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 33.46 km². Iko kando ya Ghuba ya Bothnia na Mto Ume.

Vyuo vikuuEdit

  • Chuo kikuu cha Umeå
  • Chuo kikuu cha elimu ya ukulima

Viungo vya njeEdit

www.EmelieVestin.seEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umeå kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.