Unity Dow

Mwanasiasa wa Motswana, Mwanasheria na Mwanaharakati

Unity Dow (akijulikana pia kama Diswai; alizaliwa 23 Aprili 1959) ni mwanasheria, mwanaharakati wa haki za binadamu, mbunge maalum, na mwandishi wa Botswana.

Unity Dow

Hapo awali aliwahi kuwa jaji katika mahakama kuu ya Botswana na katika wizara mbalimbali za serikali ya Botswana.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Unity Dow kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.