Universal Studios ni kampuni ya utayarishaji na usambazaji wa filamu kutoka nchini Marekani.

Logo ya Universal Studios.

Makao makuu yako 5555 Melrose Avenue huko mjini Hollywood, California.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Universal Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.