Universidade Federal do Recôncavo da Bahia
Chuo Kikuu cha Recôncavo da Bahia (Universidade Federal do Recôncavo da Bahia, UFRB) ni chuo kikuu nchini Brazil, kilichoanzishwa mnamo mwaka 2006 katika Cruz das Almas, Brazil.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Universidade Federal do Recôncavo da Bahia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |