Upangaji chapa

Upangaji chapa (kwa Kiingereza: Typesetting) ni mpangilio wa matini kwa kubadilisha chapa ya kimetali au chapa ya kidijiti. Upangaji chapa hutumika kwenye kichakata matini cha tarakilishi.

Chapa ya chuma.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).