Upendo Furaha Peneza
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka chama cha kisiasa cha CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la 11.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Upendo Peneza, mwenyekiti wa wabunge vijana aliyependa siasa akiwa shuleni, tovuti ya mwananchi.co.tz, 28 Mei 2017, iliangaliwa 29 Mein 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |