Usabidi (Microsoft)
Katika Microsoft Windows, usabidi (kwa Kiingereza: System configuration kwenye Windows Vista, Windows 7, Windows 8 na Windows 10 au MSConfig kwenye mifumo ya uendeshaji inayopita) ni kifaa cha mfumo kinachotumika ili kusuluhisha mchakato wa uwashaji wa Microsoft Windows. Usabidi ni kisuluhisho.
Marejeo
hariri- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |