Mfumo wa uendeshaji
Katika utarakilishi, mfumo wa uendeshaji (kifupi: MU; kwa Kiingereza : "Operating system") ni programu ya mfumo unaodhibiti vifaa, programu tete, rasilimali ya tarakilishi na unaotoa huduma kwa programu ya tarakilishi.
Kwa mfano, Ubuntu, Windows, Mac OS au Linux ni mifumo ya uendeshaji.
MarejeoEdit
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.