Usakinishaji (tarakilishi)

Usakinishaji wa programu ya tarakilishi ni kitendo cha kutayarisha programu inayoweza kutekelezeka. Programu zinahitaji kuwa zimeunganishwa katika tarakilishi ili kufanya kazi.

Usakinishaji wa Gimp kwenye Windows.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.