Usawanyi maneno

Katika utarakilishi na kichakata matini, usawanyi maneno (kwa Kiingereza: word wrap au line wrap) ni kuvunja kifungu cha matini ili yalingane na upana unaopatikana wa ukurasa.

Mfano wa usawanyi maneno.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)