Usawazisho
Katika uchapaji, usawazisho (kutoka kitenzi cha Kibantu kusawazisha kinachotokana na neno sawa; kwa Kiingereza: justification au typographic alignment) ni mchakato au utaratibu wa kusawazisha matini ili upande wa kulia kila mstari uishie katika umbali uleule kutoka ukingo wa ukurasa.
Marejeo
hariri- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |