Uso
Uso ni sehemu ya mwili inayoweza kumtambulisha zaidi mtu au mnyama.
Kwa kawaida uso hupatikana sehemu ya mbele ya kichwa cha mnyama au wanadamu; ingawa si wanyama wote wanaoona, uso ni muhimu kwa utambulisho wa kibinadamu.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uso kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |