Pua ni kiungo cha mwili wa watu na wanyama vertebrata chenye tundu kilicho juu ya mdomo. Kazi yake ni kunusa harufu ya vitu.

Pua ya binadamu.
Kono la tembo ni pua ndefu.

Inasaidia pia kazi ya kupumua; tena kwa wanyama kadhaa kama farasi ni mlango mkuu wa mfumo wa upumuaji.

Kwa watu na pia wanyama wengi puani mna nywele zenye kazi ya kuchuja vumbi.

Viungo vya nje Edit

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pua kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.