Utalii wa Gambia
Sekta ya utalii kwa sasa Gambia ilianza wakati kundi la watalii wa Sweden 300 walikuja mwaka 1965.[1]Safari hiyo ya mwanzo ilianzishwa na mtu wa Uswidi Bertil Harding pamoja na wasafiri wa Vingressor. Ilionekana kama sehemu ya wazo ya kuepuka miezi migumu ya baridi ya Scandinavia ambapo hawatafurahia tu jua,mchanga na pwani lakini pia uzoefu wa furaha ya likizo ya kweli ya kiafrika. Pia ilitoa ufunguzi mpya kwa likizo ya bei nafuu ili kkuongezo uwigo mpana wa wasafiri wakimarekani. Namba ya wageni inazidi kuongezeka kutoka watalii 300 mwaka 1965 mpaka wageni 25000 mwaka 1976.[2] Namba ya watalii iliendelea kuongezeka kipindi cha miaka mingi na kwa kuwa serikali ina hamu ya kubadilisha uchumi,imegundua utalii kama chanzo kikubwa cha kibato kigeni. Vilevile licha ya kuongezeka kwa umaarufu kama lengo la utalii ,maendeleo ya miundombinu imekuwa ya taratibu.
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ "Einige Wiki-Projekte", WIKI, Springer Berlin Heidelberg, ku. 465–476, ISBN 978-3-540-35110-8, iliwekwa mnamo 2022-06-11
- ↑ "Einige Wiki-Projekte", WIKI, Springer Berlin Heidelberg, ku. 465–476, ISBN 978-3-540-35110-8, iliwekwa mnamo 2022-06-11