Utsunomiya, Tochigi
mji mkuu wa Jimbo la Tochigi, Japani
Utsunomiya (宇都宮市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Tochigi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao 510,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 105 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 416.84 km².
Utsunomiya | |||
| |||
Mahali pa mji wa Utsonomiya katika Japani |
|||
Majiranukta: 36°33′00″N 139°52′00″E / 36.55000°N 139.86667°E | |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kantō | ||
Mkoa | Tochigi | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 509,931 | ||
Tovuti: http://www.city.utsunomiya.tochigi.jp/ |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Utsunomiya, Tochigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |