Uwanja wa Kwara

Uwanja wa mpira

Uwanja wa michezo wa Jimbo la Kwara ni uwanja wa michezo unao tumika kuanda shughuli mbalimbali, unaopatikana huko Ilorin, Jimbo la Kwara nchini Nigeria. Hivi sasa hutumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu [soka] na pia ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya mpira ya Kwara United F.C. na ABS F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 18,00 kutokana na ukarabati ulioanza mnamo mwaka 2010. [1] upo kwenye barabara ya Ibrahim Taiwo, Ilorin, jimbo la kwara nchini Nigeria.

Sehemu ya Mbele ya Kuingilia uwanja wa Kwara

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Kwara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.