Uwanja wa Michezo wa Philippi

Uwanja wa Michezo wa Philippi ni uwanja unaopatikana Cape Town, nchini Afrika Kusini, uwanja huo hutumiwa kwa mechi za mpira wa miguu (soka). Uwanja wa Phillipi ulitengenezwa kama uwanja wa mazoezi na uwanja wa mashabiki wa Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2010. Gharama inakadiriwa kuwa uwanja huo uligalimu milioni R90.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Philippi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.