Uwanja wa Michezo wa Shinobugaoka

Uwanja wa Michezo wa Shinobugaoka ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1951 kwenye mji wa Fukushima, Fukushima Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukushima United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 16,400.[1]

Uwanja wa Michezo wa Shinobugaoka

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shinobugaoka kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.