Uwanja wa Wusum
Uwanja wa michezo wa Wusum ni uwanja mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua jumla ya mashabiki 5,000 uliopo katika mji wa Makeni nchini Sierra Leone,ukitumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya Wusum Stars inayotoka katika wilaya ya Bombali , pia uwanja huu hutumika kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kijamii, kitamaduni na kidini,.
Mnamo mwezi Aprili 17, 2009,chama tawala cha Sierra Leone cha All People's Congress (APC) kilifanya mkutano wake mkuu katika uwanja huu na rais wa Sierra Leone alihudhuria pamoja na viongozi wengine wa kisiasa na wale wa vyama vya upinzani.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Wusum kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |