Uwanja wa michezo Al Kremiah

Jengo nchini Libya

Uwanja wa michezo wa Al Kremiah ni uwanja wa michezo uliojengwa mjini Tripoli, nchini Libya kwa ajili ya Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo mwaka 2017. Una uwezo wa kuingiza zaidi ya watu 25,000 [1]


Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-10. Iliwekwa mnamo 2021-06-10.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Al Kremiah kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.