Uwanja wa michezo wa Adama
Uwanja wa mpira wa miguu uliopo mjini Adama nchini Ethiopia
Uwanja wa Michezo wa Adama ni uwanja wa michezo wenye wingi wa matumizi unaopatikana huko Adama katika Mkoa wa Oromia nchini Ethiopia.
Kwa sasa uwanja huu unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Adama City. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 4,000 kwa mara moja.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Adama kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |