Uwanja wa michezo wa Banfora
Jengo nchini Burkina Faso
Uwanja wa michezo wa Banfora ni uwanja unaotumika kwa michezo mbalimbali unapatikana mji wa Banfora, nchini Burkina Faso. Kwa sasa unatumika hasa kwa Michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Union Sportive de la Comoé. Uwanja huu una uwezo wa kubeba mashabiki 6,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Mantz, Gabriel (2010). Yearbook of African Football 2010. Soccer Books Ltd. uk. 116. ISBN 978-1862231894.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Banfora kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |