Uwanja wa michezo wa Bidvest

majengo ya Afrika Kusini

Uwanja wa michezo wa Bidvest ni uwanja wa michezo ambao unatumika kwa shughuli nyingi za kimichezo unaopatikana huko Braampark, Gauteng kunako julikana pia kwa jina la Braampark katika kitongoji cha Johannesburg nchini Afrika Kusini.

Uwanja huo una dhamana ya kujitolea yenye uwezo wa kuchezesha mechi za mpira wa miguu kwa mechi zenye uwezo wa kuchukua watu hadi 5,000, na uwanja mwingine wa kuandaa taaluma zingine za michezo. Eneo halisi la uwanja huo, liko katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand lijulikanalo pia kwa jina la Chuo Kikuu cha Wits, na kwa sasa hutumiwa kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira wa miguu ya Bidvest Wits FC katika Ligi kuu. [1]

Wakati wa Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2010, ilitumika pia kama uwanja wa mazoezi na Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Uholanzi.

Marejeo

hariri
  1. cite web |url=http://www.bidvestwits.co.za/bidvest_stadium.asp |title=Bidvest Wits FC - Bidvest Stadium |publisher=Bidvest Wits F.C.|Bidvest Wits |access-date=3 June 2011 |url-status=dead |archiveurl=https://web.archive.org/web/20101211073942/http://www.bidvestwits.co.za/bidvest_stadium.asp |archive-date=11 December 2010
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bidvest kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.