Uwanja wa michezo wa Complexe OCP

Jengo nchini Moroko

Uwanja wa michezo wa Complexe OCP au uwanja wa michezo wa Phosphate ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi unaopatikana huko Khouribga,nchini Moroko. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Olympique Khouribga.[1] Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 10,000.[2]

Complexe OCP

Marejeo hariri

  1. L’Olympique Khouribga privé de son stade face à l’Itihad de Tanger
  2. "Complexe du Phosphate". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-26. Iliwekwa mnamo 2021-06-11. 

Viunga vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Complexe OCP kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.