Uwanja wa michezo wa Concorde
Majengo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Uwanja wa michezo wa Concorde ni uwanja wa michezo uliopo Bukavu huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Unauwezo wakuchukua watazamaji (10,000). Unatumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya OC Muungano.
Marejeo
haririhttp://www.worldstadiums.com/africa/countries/dr_congo.shtml Ilihifadhiwa 6 Februari 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Concorde kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |