Bukavu
Bukavu (zamani: Costermansville, Costermansstad) ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa Kivu na mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini.
Bukavu | |
Mahali pa mji wa Bukavu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|
Majiranukta: 2°30′0″S 28°52′0″E / 2.50000°S 28.86667°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mkoa | Kivu kusini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 806,940 |
Mji una wakazi 806,940.
Tazama piaEdit
MarejeoEdit
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bukavu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |