Uwanja wa michezo wa DUC Dakar
Uwanja wa matumizi mbalimbali Dakar, Senegal
Uwanja wa michezo wa DUC Dakar ni uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli nyingi na unapatikana huko Dakar, nchini Senegal. Hivi sasa unatumika zaidi kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka) na kilabu ya Dakar UC [1] inautumia kama uwanja wake wa nyumbani na inashiriki ligi kuu Senegali. Unastahimili watu 2,000.
Viungo Vya Nje
hariri- Stadium information Ilihifadhiwa 10 Juni 2021 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
hariri- ↑ Abdou Salam Sall (2012-09-01). Les mutations de l'enseignement supérieur en Afrique :: le cas de l'université Cheikh Anta Diop de Dakar (UCAD) (kwa French). Editions L'Harmattan. ku. 8–. ISBN 978-2-296-50219-2. Iliwekwa mnamo 2013-08-06.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa DUC Dakar kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |