Uwanja wa michezo wa Desouk

Jengo barani Afrika

Uwanja wa michezo wa Desouk ni uwanja unaotumika kwa michezo mbalimbali unapatikana katika jiji la Desouk nchini Misri. Uwanja huu mara nyingi umekuwa ukitumiwa hasa kwa matumizi ya mechi za mpira wa miguu. Uwanja huu ulifunguliwa mnamo tarehe 1 Januari mwaka 1976. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua idadi ya watu 10,000.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Desouk kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.