Uwanja wa michezo wa El-Mansoura

Uwanja wa michezo wa EL Mansoura Nchini Misri

Uwanja wa michezo wa El-Mansoura ni uwanja wa mchezo wenye matumizi mengi uliopo huko El Mansoura nchini Misri. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka), pia unatumika kuandaa michezo ya nyumbani ya klabu ya El Mansoura SC. Uwanja huo unauwezo wa kuchukua watu 18,000. ulifunguliwa mnamo mwaka 1962.

Chuo kikuu cha Mansoura

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa El-Mansoura kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.