Uwanja wa michezo wa Ephraim Mohale

Uwanja wa michezo wa Ephraim Mohale ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Modimolle Limpopo, nchiniAfrika Kusini.kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa kilabu ya Modimolle Aces katika ligi ya Vodacom.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ephraim Mohale kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.