Vodacom
entreprise de télécommunications sud-africaine
Vodacom, ni kampuni ya mawasiliano bara Afrika.
Makao Makuu | Midrand, Afrika Kusini |
---|---|
Net income | ZAR 13,667 million |
Tovuti | Vodacom |
Taswira
haririVodacom ilianzishwa mwaka wa 1994 na kudi la Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kuroka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone linamiliki asilimia sitini na tano (65) za kampuni na usimamizi wa majukumu ya kampuni.[1]
Kampuni ya Vodacom lina wateja milioni hamsini na tano (55) na kampuni tanzu ya Afrika Kusini, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji na Lesotho.
Makampuni tanzu
haririArodha ya kampuni tanzu za Vodacom ni:[2]
- Vodacom (Pty) Limited - Asilimia 93.75 - Afrika Kusini
- Vodacom Tanzania Limited - Asilimia 65 - Tanzania
- Vodacom Congo (RDC) s.p.r.l. - Asilimia 51 - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- VM, SA - Asilimia 85 - Msumbiji
- Vodacom Lesotho (Pty) Limited - Asilimia 80- Lesotho
- Vodacom Business Africa (Nigeria) Limited - Asilimia 100 - Nigeria
Umiliki
haririHisa za kampuni ya Vodacom yameoorodheshwa kwenye soko la hisa la Johannesburg, chini ya alama: VOD.[3] Wamiliku wa kuu ni:[4]
Cheo | Jina | Asilimia |
---|---|---|
1 | Vodafone Investments SA | 65.00 |
2 | Serikali ya Africa Kusini | 13.91 |
3 | Wengine | 21.09 |
Total | 100.00 |
Ona pia
haririVidokezo na marejeo
hariri- ↑ Introduction Page on Vodacoms Website. http://www.vodacom.com/vodacom/about_vodacom/introduction.jsp Ilihifadhiwa 19 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ "Vodacom Group 2014 Annual Report" (PDF). Vodacom Group. Machi 31, 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-12-31. Iliwekwa mnamo Desemba 31, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Vodacom article by the Wall Street Journal http://online.wsj.com/article/SB122596655256404705.html?mod=googlenews_wsj
- ↑ "Vodacom Group 2014 Annual Report" (PDF). Vodacom Group. Machi 31, 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2014-12-31. Iliwekwa mnamo Desemba 31, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)