Uwanja wa michezo wa Général Aboubacar Sangoulé Lamizana
Uwanja wa michezo wa Général Aboubacar Sangoulé Lamizana Ni uwanja wenye matumizi mengi Unaopatikana huko Bobo Dioulasso, nchini Burkina Faso. Unatumika sana kwa michezo ya soka na baadhi ya mechi za kombe la shirikisho la Afrika mwaka 1998 zilichezwa katika uwanja huu. Uwanja una uwezo wa kubeba mashabiki 30,000.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Général Aboubacar Sangoulé Lamizana kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |