Uwanja wa michezo wa Galeshewe
Uwanja wa michezo wa Galeshewe ni uwanja wa michezo uliokuwa ukijulikana kama Uwanja wa michezo wa mfalme George, ni uwanja wenye matumizi mbalimbali unaopatikana Galeshewe katika kitongoji cha Kimberley,nchini Afrika Kusini. Mara nyingi uwanja huu umekuwa ukitumiwa hasa katika mechi za mpira wa miguu, na pia ni uwanja wa nyumbani wa klabu mbili za mpira wa miguu, Real Madrid ya Afrika Kusini na (Steach United ) ambapo zote zilishindana katika Ligi ya Vodacom.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Galeshewe kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |