Uwanja wa michezo wa Harry Gwala

Uwanja wa michezo wa Harry Gwala ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali uliopo Pietermaritzburg nchini Afrika Kusini. Uwanja huu mara nyingi umekuwa ukitumiwa zaidi katika michezo ya mechi za mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani wa klabu ya Ligi kuu ya soka ya Maritzburg United.

Mnamo mwaka 2008, uwanja huo ulikuwa una uwezo wa kuingiza idadi ya watu 10,000 lakini hadi kukaribia Septemba 2009, idadi ya siti iliongezwa mpaka kufikia 12,000.[1] Sababu ya swala hili ni kuwepo kwa hitaji la dharura la viwanja vyenye uwezo mkubwa katika mkoa huo, ambapo uliombwa kama uwanja wa mchezo wa kombe la dunia kwa wakati ujao.[2]

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. Thando Mgaga (2009-06-08). "Lack of funds sees Harry Gwala revamp stumble".
  2. Project 2010 (2008-08-20). "Preparing South Africa for the Worlds -Harry Gwala construction gets under way". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-07.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Harry Gwala kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.