Uwanja wa michezo wa Jeshi la Misri

Umejengwa Misri

Uwanja wa michezo wa Jeshi la Misri (Kiar. ستاد الجيش المصري بالسويس‎ sitad al-jaish al-masri bil-suwais) ni uwanja wa Jeshi la Misri huko Suez. Ni uwanja unaotumika na mashirika ya mchezo wa mpira wa miguu huko Suez, nchini Misri. Uwanja huo ulijengwa mnamo mwaka 2009 ukawa kama moja ya viwanja vilivyotumika kwa mkutano wa Kombe la Dunia FIFA mwaka 2009, ambalo wenyeji walikuwa ni Misri.[1]

Uwanja huo ulijulikana kama Uwanja wa Kimataifa wa Mubarak hadi mwaka 2011 na ulibadilishwa kuwa Uwanja wa Jeshi la Misri kama matokeo ya mapinduzi ya Misri ya mwaka 2011, ambayo yalimuondoa Hosni Mubarak kutoka kuwa urais wa Misri.[2] [3][4]

Marejeo

hariri
  1. "Mubarak Stadium". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-02. Iliwekwa mnamo 2009-10-11. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/6HnkIkcbx?url= ignored (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-12. Iliwekwa mnamo 2021-06-12.
  3. https://www.facebook.com/pages/Suez-Stadium/145547125472525
  4. http://stadiumdb.com/stadiums/egy/cairo_military_academy_stadium
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Jeshi la Misri kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.