Uwanja wa michezo wa Larbi Zaouli
Uwanja wa michezo wa Larbi-Zaouli ni uwanja wenye matumizi mengi unaopatikana huko Casablanca, nchini Moroko. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na wapangaji wa sasa ni TAS de Casablanca. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 30,000.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Larbi Zaouli kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |