Uwanja wa michezo wa Makhulong

Uwanja wa michezo wa Makhulong ni uwanja wa michezo ambao pia umekuwa ukijulikana kama uwanja wa Tembisa. Ni uwanja unaotumiwa kwa michezo mbalimbali katika mji wa Tembisa huko Afrika Kusini , katika mji wa Johannesburg. Kwa sasa ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Highlands Park F.C. katika Ligi kuu ya Soka[1]

Mnamo mwaka 2009, uwanja huo ulifanyiwa ukarabati kwa gharama zipatazo Rand milioni 38 ya Afrika Kusini na ikafikia viwango vya Ligi kuu ya Soka.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-08. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Makhulong kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.