Uwanja wa michezo wa Mji wa Ughelli

Uwanja wa michezo wa Jiji la Ughelli ni uwanja unaopatikana huko Ughelli nchini Nigeria. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Ocean Boys FC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 5,000 na ulijengwa mnamo mwaka 2002. Uliandaa mechi za Mashindano ya Wanawake ya Afrika ya mwaka 2006 na pia mwaka 2008 uliandaa Mashindano ya WAFU U-20.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mji wa Ughelli kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.