Uwanja wa michezo wa Mogwase

Umejengwa Afrika Kusini

Uwanja wa michezo wa Mogwase ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo ogwase karibu na Rustenburg huko Afrika Kusini.

Ulikuwa ukitumiwa na timu ya mpira wa miguu ya Taifa la Marekani.[1] na timu ya Afrika Kusini kama kituo cha mazoezi wakati wa kombe la shirikisho la mwaka 2009.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mogwase kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "U.S. versus Spain preview - U.S. Soccer -". ESPN Soccernet. June 23, 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 7 June 2010.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Bafana chooses Orlando". Sowetan. 20 May 2009. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 May 2009. Iliwekwa mnamo 7 June 2010.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)