Uwanja wa michezo wa Muhoroni
Uwanja wa michezo wa Muhoroni ni uwanja wa michezo ambao hapo awali uliitwa Uwanja wa michezo wa Biafra na unatumika kwa shughuli mbalimbali huko Muhoroni, nchini Kenya. Uwanja huu ulitumika zaidi na chama cha mpira wa miguu na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya Muhoroni Youth F.C.[1]. Vijana wa Muhoroni wa Ligi Kuu ya Kenya tangu mwaka 2012. Uwanja huo unaingiza idadi ya watu takribani 20,000 na unamilikiwa na Muhoroni Youth Club inayo shiriki Klabu bingwa na ni Kampuni ya Sukari ya Muhoroni ambayo alitoa ardhi hiyo kwa jamii. Kampuni hiyo ingawa inasimamia uwanja huo pia ni mtengenezaji anayeongoza kwa kutengeneza "Sukari ya kahawia" ambayo "Sukari ya Muhoroni" utolewa.
Marejeo
hariri- ↑ "Soka.co.ke". www.soka.co.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Muhoroni kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |