Uwanja wa michezo wa Ngwana Mohube

Uwanja wa michezo wa Ngwana Mohube ni uwanja wenye uwezo mdogo katika kijiji cha Ga-Mphahlele kilichopo kilomita 8 mashariki mwa Lebowakgomo na kilomita 60 kusini mwa Polokwane katika jimbo la Limpopo,nchini Afrika Kusini.

Uwanja wa michezo wa Ngwana Mohube unapatikana katika anuani sawa na ya shule ya sekondari ya kijijini hapo.

Watumizi katika mpira wa miguu

hariri

Tangu mwezi Juni mwaka 2010, watumizi wakuu (wapangaji) wa uwanja wa Ngwana Mohube ni klabu ya Baroka FC. Klabu hii inashiriki ligi ya Vodacom daraja la tatu(3). Mwaka 2008-10 Baroka F.C walichukua uamuzi wa kutumia uwanja wa michezo wa Lebowakgomo kama uwanja wao wa nyumbani.[1]

Marejeo

hariri
  1. SAFA. "Official database for Vodacom League (with info about venues, results and logs)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-19. Iliwekwa mnamo 2011-06-15.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ngwana Mohube kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.