Uwanja wa michezo wa Oscar Anthony

Uwanja wa michezo wa Oscar Anthony ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Lome nchini Togo na pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Étoile Filante de Lomé na AC Merland, ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 2,000.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Oscar Anthony kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.