Uwanja wa michezo wa Pillar

Uwanja wa michezo wa Pillars ni uwanja wenye kazi tofauti tofauti upo katika eneo la Sabon Gari Jimbo la Kano nchini Nigeria.Mahali pake ni kwenye makutano ya Barabara ya Abuja na barabara ya uwanja wa ndege. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu soka na ni moja ya viwanja viwili vinavyotumiwa na timu ya mpira ya Kano Pillars FC,na nyingine ikiwa uwanja wa michezo wa Sani Abacha.[1].uwanja huu una uwezo wa kupeba watu 10,000. Mnamo mwaka 2014 ulikua nyumba ya muda ya El-Kanemi Warriors baada ya nyumba yao ya Maiduguri kuonekana kutokua salama kwa mechi.

marejeo

hariri
  1. "CAF Inspects Pillars Sabongari Stadium". 2014-11-28. Iliwekwa mnamo 2015-03-13.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Pillar kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.